Jinsi ya kuunlock Alcatel EE71 4GEE WiFi Mini EE UK itumie mitandao yote
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel EE71 4GEE WiFi Mini EE UK na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch EE71 4GEE WiFi Mini EE UK itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafungua browser
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch EE71 4GEE WiFi Mini EE UK na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote




Post a Comment