Jinsi ya kuunlock Alcatel MW40V MTN Congo itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu wa MTN Congo kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel MW40V MTN Congo na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel MW40V MTN Congo itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafungua browser yenye address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code

6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch MW40V MTN Congo na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Read More >>>> Namna ya kuunlock Alcatel TCL MW41CL Vodacom Tanzania

No comments