Jinsi ya kuunlock Alcatel MW41CL Vodacom Tanzania
Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu wa Vodacom Tanzania, ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel MW41CL Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel MW41CL Vodacom Tanzania itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router na Computer kwa Wi-Fi
3. Itafungua browser
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock TCL MW41CL Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Post a Comment