Jinsi ya kuunlock Alcatel MW40V MTN Uganda itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu, ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel MW40V MTN Uganda na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel MW40V MTN Uganda itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wi-Fi
3. Itafunguka browser kwenye computer yako yenye Address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "OK"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel MW40V MTN Uganda na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Read More >>> Namna ya kuunlock Alcatel X230E Airtel Tanzania

No comments