Jinsi ya kuunlock E5372s itumie mitandao yote

Hii ni router ya E5372s ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock E5372s na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei E5372s itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako

2. Unganisha router yako na computer kwa WI-FI

3. Itafunguka browser yenye adress kama hii 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindikana kufunguka copy hii address
http://192.168.1.1/html/simlockrequired.html na copy kwenye browser yoyote ile ya computer yako
   >Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log In

4. Weka NCK Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza Apply.

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock E5372s na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments