Jinsi ya kuunlock B315s-22 Tigo Tanzania itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja tu wa Tigo Tanzania na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei B315s-22 Tigo Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei B315s-22 Tigo Tanzania
1. Install Huawei Drivers i.e FC Serial Driver & Huawei Datacard Driver
2. Run Huawei B315s-22 Tigo unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock B315s-22 Tigo Tanzania na utaweza kutumia SIM card ya mtandao wowote ule

No comments