Jinsi ya kuunlock Huawei Mifi E5573s-156 Airtel Zambia
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei E5573s-156 Airtel Zambia
Ingia kwenye Windows Explorer. Right click kwenye This Computer au My computer (kama unatumia windows 7) >>>>> Manage >>>> Device Manager
>>>>> Ports (COM & LPT).
X86 kisha bonyeza "OK". Jinsi ya kutambua Windows Bit ya computer yako kama ni X86 au X64. Bonyeza HAPA
F. Itaanza kuinstall Driver yako kwenye computer. Ikishindwa, hasa kwa wale wanaotumia windows yenye Bit X64. Disable Driver signature Enforcement kwenye computer yako. Jinsi ya kudisable Driver Signature Enforcement, Bonyeza HAPA. Ikishamaliza bonyeza "Close".
iii. Fungua huawei Master code calculater, weka IMEI kisha bonyeza calculate kupata Flash Code. Kupata IMEI, fungua mfuniko wa router yako.
iv. Run Huawei E5573s-156 Downgrade Firmware kisha bonyeza "Start. Ikiomba Password, weka za Flash Code ulizozipata kwenye Huawei master code calculater kisha bonyeza OK. Iache mpaka imalize. Ikimaliza, bonyeza "Finish"
Ikileta ujumbe wa "Error 10: Find port failed". Unaporun Huawei E5573s-156 Downgrade Firmware, Fungua kwenye folder la Driver >>> Install 1 Error Code 10 >>>
run USB_E5573_USB_controller au Error Code 10 kisha endelea na hatua namba iv.
v. Run DC Unlocker Client as administrator kisha bonyeza Magnifying Glass Button. Utaletewa taarifa za router yako.
- Funga Huawei mobile partner dashboard
- Funga browser ya router yako
vi. Mwisho wa taarifa za router yako kwenye DC Unlocker Client. Weka hizi code AT^NVRDEX=50503,0,128 kisha bonyeza ENTER kwenye keyboard ya computer yako kupata NV Hash Code
ix. Run Huawei mifi E5573s-156 Upgrade Firmware kisha Bonyeza "Start" kisha "Next". Iache mpaka imalizike yenyewe kisha bonyeza "Finish"
x. Chomoa router yako kwenye computer. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
xi. Unganisha WIFI na computer yako. Itafungua browser yenye address hii "192.168.8.1"
xii. Weka User name na "Password" kisha bonyeza "Log In" ambapo ni admin kwa zote
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5573s-156 Airtel Zambia na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka.
Tags: Jinsi ya kuunlock E5573s-156 Airtel Zambia itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Huawei E5573s-156 Airtel Zambia itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E5573s-156 Airtel Zambia, jinsi ya kufungua E5573s-156 Airtel Zambia, jinsi ya kuunlock Huawei E5573s-156 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock E5573s-156 itumie mtandao wowote, how to unlock Huawei E5573s-156, how to unlock E5573s-156, how to unlock E5573s-156 Airtel Zambia, how to unlock Huawei E5573s-156 Airtel Zambia, download Huawei E5573s-156 Airtel Zambia firmware, download E5573s-156 firmware, jinsi ya kuunlock router ya Africel E5573s-156 itumie mitandao yote, namna ya kufungua router ya E5573s-156 Airtel Zambia itumie mitandao yote
Post a Comment