MagtiMate: Blogger Premium Template nzuri kwa ajili ya Blog yako
Hii ni Blogger Template nzuri, rahisi na ina feature nyingi sana kwa ajili ya blog yako. Unapotumia template hii ni rahisi post zako kuonekana kwenye search engine ya Google, Bing, Yahoo n.k na pia utaweza kuiweka vile unavyotaka ionekane kwenye blog yako. Post zako zitaonekana kwa urahisi na watembeleaji wa blog yako
Katika mambo ya msingi ambayo unatakiwa ufikirie kabla ya vyote ni Blogger Premium template nzuri na rahisi kuitumia ambapo itakuwa rahisi post zako kuonekana kwenye search engine za Google, Yahoo n.k na pia kwa watembeleaji.
Faida ya kutumia Blogger Premium Template
- Haina Encrypt Code. Hizi ni code maalumu ambazo zimeweka ili utumie baadhi ya feature kwenye template ndiyo maana utakuta baadhi ya post hazionekani kwenye search engine
- Utaweza kutoa Footer Credit kwenye template. Hapa haina haja ya kuweka au kutoa footer credit, itajiandika yenyewe
- Post zako zitaweza kuonekana kwa urahisi kwenye search engine za Google, Bing, Yahoo n.k
- Ukiitumia hii template ni rahisi kukubaliwa na makampuni ya Ad Network kama Google Adsense n.k kwasababu blogger template nzuri ni zile za Mag, zipo nyingi ikiwemo hii na pia haina encrypt code ambayo itazuia baadhi ya matangazo kutoonekana.
- Utaweza kupata update ya MagtiMate pindi inapotoka. Hapa huwa kuna feature huwa zinaongezwa baada ya muda fulani
Blog yangu inatumia MagtiMate Premium Template ambayo inaniwezesha kui-customize vile ninavyotaka kwasababu ni premium. Pakua sasa na ufurahie kuitumia kwenye blog yako.
Epuka kutumia Blogger Template Free version ambazo hazina matokeo mazuri kwenye blog yako kwasababu hutolewa kama DEMO.
DEMO ina Encrypt code ambazo huwekwa ili kuzuia baadhi ya feature zisiweze kuonekana
- Baadhi ya Post hazitaonekana kwenye search engine kama Google, Yahoo, Bing n.k
- Baadhi ya Video zilizokuwa embeded kwenye blog yako, hazitaweza kuonekana kwenye post yako. Ina idadi ya video ambazo zinatakiwa zionekane kwenye template yako
- Hautaweza kutoa Footer Credit
- Blog yako haitakuwa haina muonekano mzuri.
- Hautaweza kukubaliwa na makampuni ya matangazo mtandaoni kama Google Adsense, Revenue Hints n.k kwasababu baadhi ya matangazo hayataweza kuonekana kwa kuwa ina Encrypt code ndiyo maana hawawezi kukubalia
Angalia blog yangu, inamuonekano mzuri na inavutia kwenye computer na kwenye simu.
Post a Comment