Jinsi ya kuunlock Vodafone V875 Vodacom Tanzania
Hii ni simu ambayo imefungwa na kampuni ya Vodacom Tanzania inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwenye SIM 1 ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code.
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock simu yako ya Vodafone V875 Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote kwenye SIM 1.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuweka NCK Code ili uweze kuunlock Vodafone V875 Vodacom Tanzania iweze kutumia SIM Card ya mtandao wowote
1. Weka laini ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Bonyeza *#*#3646633#*#*
3. Chagua SIMLOCK Menu
4. Weka NCK Code ulizotumiwa
Mpaka hapa, umefanikiwa kuunlock simu ya Vodafone V875 Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.




Post a Comment