Jinsi ya kuunlock D-link DWM 222 Zantel Tanzania itumie mitandao yote

Hii ni modem ya 4G yenye speed kubwa katika internet lakini imefungwa ili iweze kutumia mtandao mmoja tu wa simu. Kwahiyo ukitaka kutumia mtandao mwingine haitawezekama.

Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua modem ya D-link 222 Zantel Tanzania na pia utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka kulingana na mahitaji yako.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Dlink 222 Zantel Tanzania itumie mitandao yote
1. Pakua D-link 222 unlocked firmware kisha extract kwa kutumia Winrar au 7-Zip kwenye computer yako

2. Chomeka modem kwenye computer yako, kisha install drivers. Ukichomeka modem kwenye computer yako itakuleta dashboard ya kukutaka uinstall dashboard ya modem yako. Hivyo ndivyo drivers zinavyowekwa. Baada ya kumaliza, itafunguka Dashboard. Sasa ifunge. Hakikisha modem yako ina laini ya mtandao mwingine au haina kabisa
3. Run D-link DWM 222 Unlocked Firmware. Itaanza kuupdate firmware yenyewe kisha italeta ujumbe wa kukutaka u-install drivers. Bonyeza Yes

4. Italeta dash ya CMD nyeusi. Press Enter kuupdate firmware ya modem yako

5. Iache mpaka imalize kisha chomoa na chomeka tena modem ikiwa na SIM Card ya mtandao wowote. 

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock modem ya Dlink 222 Zantel Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Tags: Jinsi ya kuunlock D-link DWM 222 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock D-link DWM 222 Zantel Tanzania itumie mitandao yote, namna ya kuunlock DWM 222 Zantel Tanzania, jinsi ya kuunlock Dlink DWM 222 Zantel Tanzania, jinsi ya kufungua D-link DWM 222 itumie mtandao wowote, namna ya kufungua D-link DWM 222 Zantel Tanzania itumie mitandao yote, namna ya kufungua DWM 222 Zantel Tanzania, jinsi ya kufungua Dlink DWM 222 Zantel Tanzania,jinsi ya kufungua modem ya D-link DWM 222 itumie laini ya mtandao wowote, namna ya kufungua modem ya D-link DWM 222 Zantel Tanzania itumie laini ya mitandao yote, namna ya kufungua modem ya DWM 222 Zantel Tanzania, jinsi ya kufungua modem ya Dlink DWM 222 Zantel Tanzania, how to unlock D-link DWM 222, how to unlock D-link DWM 222 Zantel Tanzania, how to unlock DWM 222 Zantel Tanzania, how to unlock Dlink DWM 222 Zantel Tanzania, download D-link DWM 222 firmware, download DWM 222 Zantel Tanzania firmware, download Dlink DWM 222 Zantel Tanzania firmware, download D-link DWM 222 Zantel Tanzania firmware

No comments