Jinsi ya kuunlock Vodafone V695 Vodacom Tanzania itumie mitandao yote

Hii ni simu ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania inayokutaka utumie laini ya mtandao mmoja tu kwenye Slot ya laini one ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua simu yako ya Vodafone Vodacom Tanzania V695 na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote kwenye SIM 1.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuweka NCK Code ili uweze kuunlock Vodafone Vodacom Tanzania V695 iweze kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Bonyeza *#*#3646633#*#*
3. Chagua SIMLOCK Menu
4. Weka NCK Code ulizotumiwa

Hongera! Umefanikiwa kufungua simu yako ya Vodafone V695 Vodacom Tanzania na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote.

Tags: Jinsi ya kuunlock Vodafone V695 Vodacom Tanzania itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Vodafone V695 Vodacom itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Vodafone V695 itumie mitandao yote, namna ya kufungua Vodafone V695 Vodacom Tanzania itumie mtandao wowote, jinsi ya kuunlock V695 itumie mitandao yote, how to unlock Vodafone V695 Vodacom Tanzania, how to unlock Vodafone V695 Vodacom Tanzania by Code, how to unlock Vodafone V695 Vodacom Tanzana by IMEI, how to unlock V695 Vodacom Tanzania, namna ya kuunlock simu ya Vodacom V695 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua simu ya Vodafone V695 Vodacom Tanzania

No comments