Jinsi ya kuunlock Blackberry 8320 itumie mitandao yote
Hizi ni simu ambayo imefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine. Inakuomba NCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock simu yako ya Blackberry 8320 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Baada ya kupata NCK Code, Fanya yafuatayo;
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha bonyeza kitufe cha Power ON
2. Ingia Settings >>>>>>> Security & Privacy >>>>>> SIM Card
3. Bonyeza "Unlock Network"
4. Weka "NCK Code" (ulizotumiwa)
5. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Blackberry Curve 8320 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.




Post a Comment