Jinsi ya kuunlock E5573Cs-322 Tigo Tanzania itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Tigo Tanzania inayokuta utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo unapoweka laini ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5573Cs-322 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
1. Install Huawei Datacard Driver
2. Run Huawei E5573Cs-322 Tigo unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File
Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock Huawei E5573Cs-322 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote unaotaka
Namna ya kufungua R6601 Halotel Tanzania itumie mitandao yote CLICK HERE
ReplyDelete