Jinsi ya kuunlock E3372h-510 itumie mitandao yote
Hii ni modem ya 4G LTE iliyofungwa na makampuni ya simu yanayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu. Unapoweka laini ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kufungua modem yako ya E3372h-510 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Namna ya kuunlock Huawei E3372h-510 itumie mitandao yote
1. Install Huawei Hilink FC Serial Drivers kwenye computer yako. Double click kwenye DriverSetup kuinstall drivers kwenye computer yako
2. Run DC Unlocker 2 Client as Administrator. Bonyeza kwenye Magnifying Glass. Utaletewa taarifa za modem yako mwisho wa taarifa za modem yako. Weka hizi code AT^NVRDEX=50503,0,128 kisha bonyeza Enter
3. Utaletewa NV Harsh code kama hivi
Nitumie NV Harsh code kwenda namba +255767434014 kwa SMS, WhatsApp au Telegram. Nitazibadili na kuwa NCK Code
4. Weka SIM Card ya mtandao mwingine. Kisha chomeka Modem yako kwenye computer
5. Ingia kwenye Windows explorer (my computer), bonyeza Virtual CD-ROM and install kwenye computer.
6. Itakuomba NCK Unlock Code. Weka NCK Code ulizotumiwa na team Fahusvera
Hongera! Mpaka hapo, utakuwa umefanikiwa kufungua modem yako ya Huawei E3372h-510 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Post a Comment