Jinsi ya kuunlock E5573Bs-320 Zantel Tanzania itumie mitandao yote
Hii ni Wifi router ambayo inakutaka kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba SIMLock Code.
Kwa kushirikiana na team ya Fahusvera utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5573Bs-320 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
1. Install Huawei Drivers i.e FC Serial Driver & Huawei Datacard Driver
2. Run Huawei E5573Bs-320 Zantel unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5573Bs-320 Zantel Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule
Post a Comment