Jinsi ya kuunlock Alcatel H850V itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel H850V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel H850V itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch H850V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

No comments