Jinsi ya kuunlock Blackberry Curve 9320 itumie mitandao yote

Hii ni simu ya Blackberry Curve 9320 ambayo imefungwa ili iweze kutumia laini ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuomba NCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock simu ya Blackberry Curve 9320 na utaweza kutumia laini ya mtandao  wowote ule

Waiting Time: 1min - 5minutes

Baada ya kupata NCK Code, Fanya yafuatayo;
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine. Bonyeza kitufe cha Power ON
2. Ingia Settings >>>>>>> Security & Privacy >>>>>> SIM Card
3. Bonyeza Unlock Network
4. Weka "NCK Code" (ulizotumiwa)
5. Bonyeza "OK"

Mpaka hapa, utakuwa umefanikiwa kuunlock simu yako ya Blackberry Curve 9320 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

No comments