Jinsi ya kuunlock E5573Cs-322 Safaricom Kenya
Ni router inayotumia mtandao mmoja tu wa Safaricom Kenya kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao tofauti itakuomba SIMLOCK code.
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5573Cs-322 na utaweza kutumia SIM card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
1. Install Huawei Datacard Driver
2. Run Huawei E5573Cs-322 Safaricom unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5573Cs-322 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote unaotaka
Post a Comment