Jinsi ya kuunlock Alcatel OT-710 itumie mitandao yote
Hii ni simu ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja kwahiyo ukiweka SIM Card mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code.
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel OT-710 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel OT-710 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine.
2. Washa simu yako
3. Utaletewa ujumbe "Enter Network Key".
4. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
5. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Alcatel OT-710 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Post a Comment