Jinsi ya kuunlock VKi200 & VKi230 itumie mitandao yote

Hizi ni simu ambazo zimefungwa ili zitumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock VKi200 & VKi230 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock simu ya Verykool VKi200 & VKi230 itumie mtandao wowote
1. Insert unaccepted SIM Card kisha washa simu yako
2. Itakuomba NCK Code
3. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
4. Bonyeza Accept

Hongera! Mpaka hapo umefanikiwa kuunlock simu ya VKi200 & VKi230 na utaweza kutumia SIM card ya mtandao wowote

Tags: How to unlock VKi200, how to unlock VKi230, how to unlock VKi200 & VKi230, how to unlock Verykool VKi200 & VKi230, how to unlock Verykool VKi230, how to unlock Verykool VKi200

No comments