Jinsi ya kuunlock Alcatel Y610D itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu, ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kufungua router yako ya Alcatel Onetouch Y610D na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch Y610D itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wi-Fi
3. Itafungua browser yenye address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa
6. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kufungua router yako ya Alcatel Onetouch Y610D na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Post a Comment