Jinsi ya kuunlock Alcatel OT-209, OT-305, OT-710 & OT-V555

Hizi ni simu za Alcatel zilizofungwa ili zitumie laini ya mtandao mmoja tu ambapo hautaweza kutumia SIM Card ya mtandao mwingine.

Kushirikiana na team ya Fahusvera tunakuletea ufumbuzi wa tatizo hili ambapo utaweza kuunlock simu yako popote ulipo

 Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock simu ya Alcatel
OT-V555, OT-710, OT- 209, OT-305 zitumie mitandao yote

Njia ya kwanza
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Utaletewa ujumbe "Enter Network Key" weka NCK code nilizokutumia

Njia ya pili
A. Washa simu yako ya Alcatel OT-V555 bila SIM Card yoyote
B. Weka Code hizi *#0000*CODE#
C. Ili kufanikisha mchakato wa kuunlock weka code hizi*#0001*CODE#

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock Alcatel Vodafone OT-V555 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments