Jinsi ya kuunlock ZTE MF192 itumie mitandao yote
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE MF192 na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Mahitaji
- ZTE MF192 Unlocked Firmware
- ZTE MF192 Driver
- USB Cable
- PC
Namna ya kuunlock MF192 itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install ZTE MF192 Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File
Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE MF192 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Post a Comment