Jinsi ya kuunlock Alcatel X230Y itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X230Y na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel X230Y itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X230Y na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Post a Comment