Namna ya kuunlock B593s-22 Smile Tanzania itumie mitandao yote

Hii ni router ya Huawei Wi-Fi router B593s-22 ya Smile Tanzania iliyofungwa ili iweae kutumia laini ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card tofauti na Smile inakuomba SIM LOCK Code.

Timu ya Fahusvera inakuletea ufumbuzi wa tatizo hili na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Jinsi ya kuunlock Huawei B593s-22 Smile Tanzania itumie mitandao yote

1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako kisha washa
2. Unganisha Wifi kwenye computer yako, itafungua browser yenye hii address 192.168.1.1/simlock.asp
ikishindwa kufungua kwenye browser yako fungua address hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.html
- Jaza User Name na Password kisha bonyeza kitufe cha Log in

3. Itaomba SIM LOCK code. Weka NCK code zilizokutumia kisha Bonyeza Apply.

Hongera! umefanikiwa kuunlock router yako ya B593s-22 Smile Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mitandao wowote ule unaoutaka.

No comments