Namna ya kuactivate Microsoft Office 2019 for Beginner

Kwa kutumia njia hii utaweza kuactivate Microsoft 0ffice 2019 na utaweza kutumia features zote zilizopo kwenye Microsoft Office 2019.

Njia hii ni rahisi na mtu yoyote anaweza kuitumia hata kama siyo mjuzi wa masuala ya IT. Njia hii inafanya kazi kwenye Windows zote kuanzia XP, Server, 7, 8, 8.1 & 10

Muhimu
- Hii ni njia ya kuactivate Microsoft Office 2019 tu. Kama unatumia Microsoft Office tofauti na 2019, download Activator zake mwisho wa hii post

Mahitaji
- Microsoft Office 2019 Activator

Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2019
1. Connect computer yako na internet kwa kutumia WI-FI au Modem. Hakikisha una bundle la internet kuanzia mb 10 au zaidi
2. Turn Off Antivirus kama vile Windows Defender, Kaspersky, AVG n.k kwenye computer yako

3. Run Microsoft Office 2019 Activator as administrator. 


4. Itafunguka CMD Iache mpaka imalize process zote, ikimaliza bonyeza N au exit kufunga CMD

5. Mpaka hapa utakuwa umeweza kuactivate Microsoft Office 2019  na itaonekana kama hivi

Baada ya kuactivate, utaweza kupata features zote za Microsoft Office 2019

Kila Microsoft Office ina njia yake ya kuactivate. Maelezo ya jinsi ya kuactivate yapo kwa kila Office.

Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2003
- Download Microsoft Office 2003 Activator

Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2007
- Download Microsoft Office 2007 Activator

Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2010
- Download Microsoft Office 2010 Activator

Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2013
- Download Microsoft Office 2013 Activator

Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2016
- Download Microsoft Office 2016 Activator

Website bora za kupakua Microsoft Office 2003, 2007, 2010, 2013, 2016 & 2019
Hizi ni website bora ambazo utaweza ku-download Microfost Office pamoja na software zingine bure bila kulipia.  Zipo website nyingi ila hizi ni bora kwangu na hivyo napendelea na wewe uzitumie kupakua Microsoft Office 2003, 2007, 2010, 2013, 2016 & 2019 na software zingine bure

1. Microsoft
Naiweka ya kwanza kwasababu hawa ni ndiyo wahusika wa Microsoft Office 2003, 2007, 2010, 2013, 2016 & 2019 kwahiyo mbali na kupakua hizi software pia waweza kupakua Windows kama vile 7, 8 & 10 bure bila malipo yoyote.

2. Softlay
Ni moja ya website ambayo itakusaidia kupakua software mbali mbali ikiwemo Microsoft Office 2003, 2007, 2010, 2013, 2016 & 2019 na software zingine kama vile Windows, Antivirus na zingine

3. Getintopc
Hii ni website iliyosheheni software mbalimbali zikiwemo Microsoft Office 2003, 2007, 2010, 2013, 2016 & 2019 pamoja na software zingine kama vile Windows, Browser n.k

4. Filehorse
Website hii itakuwezesha kupakua software mbalimbali kulingana na mahitaji yako kwahiyo utaweza kudownload bure software yaani bila malipo yoyote yale

5. Filehippo
Hii pia ni moja ya website bora ambayo itakupa unachotaka bure. Kupitia website hii utaweza kudownload Microsoft Office 2003, 2007, 2010, 2013, 2016 & 2019 pamoja na software zingine bure bila malipo yoyote

Tags: Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2019, Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2003, Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2007, Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2010, Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2013, Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2016, Jinsi ya kudownload Microsoft Office 2019 kwenye computer, Jinsi ya kudownload Microsoft Office 2003 kwenye computer, Jinsi ya kudownload Microsoft Office 2007 kwenye computer, Jinsi ya kudownload Microsoft Office 2010 kwenye computer, Jinsi ya kudownload Microsoft Office 2013 kwenye computer, Jinsi ya kudownload Microsoft Office 2016 kwenye computer

No comments