Namna ya ku-activate Microsoft Windows XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1 & 10 for beginner

Kwa kutumia njia hii utaweza kuactivate Microsoft Windows aina zote kwa activator moja. Ni rahisi kutumia kwa mtu yoyote hata kama hauna ujuzi wowote wa masuala ya I.T

Requirements
- Microsoft Windows Activator
- Computer

Jinsi ya kuactivate Windows XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1 na 10

1. Turn off Antivirus kama vile Windows Defender, Kaspersky, AVG n.k kwenye computer yako


2. Run Microsoft Windows Activator kwenye computer yako kisha bonyeza activate.Iache mpaka imalize process zote na italeta ujumbe wa windows activated


3. Mpaka hapa utakuwa umeweza kuactivate Windows yako. Usisahau ku-turn on antivirus baada ya zoezi hili
Unapohitaji kudonwload windows XP, Vista, Server, 7, 8 & 10 basi hizi ni website bora ambazo zitakuwezesha kupakua bure yaani bila malipo yoyote. Siyo Windows tu bali zipo software zingine ambazo utaweza kudownload bure na kwa urahisi zaidi, ni wewe na kifurushi chako tu cha Internet.

Hizi ni website bora zitakazokuwesha kudonwload Windows na software zingine

1. Microsoft
Hii ni website ambayo itakuwezesha kudownload Windows yoyote utakayo bure bila malipo kwahiyo kinachohitajika ni kifurushi cha internet tu. Mbali na kudownload Windows pia utaweza kudownload software zingine zilizotengenezwa na Microsoft


2. Getintopc
Hii ni website bora yenye software nyingi na ni rahisi kutumia, ni wewe na kifurushi chako. Nakushauri tumia hii website kudownload Windows xp, vista,
server, 7, 8 % 10 na software zingine. Software zote ni bure yaani hakuna malipo yoyote

3. Softlay
Ni moja ya website bora ambayo unatakiwa kuitumia pale unapotaka kudownload Windows na software zingine. Hii ni website ambayo ni rahisi kutumia hata kwa mtu yoyote yule na pia software zote ni bure


4. Filehippo
Hii ni website bora ambayo itakuwezesha kupakua Windows pamoja na software zingine unazozihitaji kulingana na mahitaji yako. Software zote ni bure.

 5. Filehorse
Hii pia ni moja ya website ambazo utaweza kudownload Windows 7, 8 & 10 pamoja na software zingine bure kwa urahisi zaidi. Ni rahisi kudownload

 
Tags: Jinsi ya kuactivate Windows XP, jinsi ya kuactivate Windows Vista, jinsi ya kuactivate Windows Server, jinsi ya kuactivate Windows 7, jinsi ya kuactivate Windows 8, jinsi ya kuactivate Windows 8.1, jinsi ya kuactivate Windows 10, namna ya kuactivate Windows aina zote, jinsi ya kudownload Windows aina zote, namna ya kudownload windows 7, namna ya kupakua windows 8, namna ya kudownload windows 10, website nzuri za kudownload software, website nzuri za kudownload program, website nzuri za kudownload windows 7, website nzuri za kudownload windows 8, website nzuri za kudownload windows 10, website nzuri za kudownload windows 11

No comments