Jinsi ya kuunlock ZTE MF927U Zamtel itumie mitandao yote

Hii ni router inayotumia mtandao mmoja wa Zamtel ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code. 

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE MF927U Zamtel na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock ZTE MF927U Zamtel itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install ZTE MF927U Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE MF927U Zamtel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

 
Tags: Jinsi ya kuunlock ZTE MF927U Zamtel, jinsi ya kuunlock Zamtel ZTE MF927U, jinsi ya kufungua ZTE MF927U Zamtel, jinsi ya kufungua Zamtel ZTE MF927U, download firmware for ZTE MF927U Zamtel, download firmware for Zamtel ZTE MF927U, download ZTE MF927U Zamtel, download ZTE MF927U Zamtel firmware

No comments