Jinsi ya kuunlock Alcatel MW40CJ Vodafone India itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu, ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel MW40CJ Vodafone India na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel MW40CJ Vodafone India itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser yenye Address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel MW40CJ Vodafone India na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments