Jinsi ya kuunlock Vodafone V685 Vodacom Tanzania

Hii ni simu ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwenye Slot ya SIM 1 ambapo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock simu yako ya Vodafone V685 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote unaoutaka kwenye SIM 1.

Waiting Time: 1min - 5minutes


Namna ya kuunlock Vodafone Vodacom Tanzania V685 iweze kutumia SIM Card ya mtandao wowote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Bonyeza *#*#3646633#*#*
3. Chagua SIMLOCK Menu
4. Weka NCK Code ulizotumiwa

Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Vodafone V685 Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote. 

No comments