Jinsi ya kuunlock ZTE MF83M itumie mitandao yote
Hii ni router ya kampuni ya ZTE ambayo imetengenezwa ili iweze kutumia SIM card ya mtandao mmoja tu
Ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuletea ujumbe wa invalid SIM Card na hautaweza kupata internet pasipo SIM Card husika
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock router ya ZTE MF83M na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock ZTE MF83M itumie mitandao yote
1. Install ZTE MF83M drivers kwenye computer yako. Kama unatumia Windows yenye X32/86 haina haja ya kudisable driver signature enforcement. Ila
kama unatumia Windows yenye X64 inabidi u-disable driver signature enforcement kwenye computer yako. Soma >>> Jinsi ya kuangalia kama unatumia Windows yenye bit x32 au X64 kwenye computer
3. Chomeka router yako ya ZTE MF83M kwenye computer
4. Fuata maelezo ya PDF kwenye file ya ZTE MF83M Unlocked Firmware
Hongera! Umefanikiwa kuunlock router yako ya ZTE MF83M na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.



Post a Comment