Jinsi ya kuunlock E5372 Megafon MR100-3 itumie mitandao yote
Hii ni mini WIFI router E5372 ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock Megafon MR100-3 4G LTE na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Waiting Time: 1min - 5minitus
Namna ya kuunlock E5372 Megafon MR100-3 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
2. Unganisha router yako na computer kwa WI-FI
3. Itafunguka browser. Weka User Name na Password kisha bonyeza Log In
4. Weka NCK Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza Apply.
Hongera! Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock Huawei E5372 Megafon MR100-3 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka. Enjoy!






Post a Comment