Jinsi ya kuunlock Alcatel Linkzone MW43 itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel MW43 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Linkzone MW43 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser ambayo ina address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba SIMLOCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "Apply"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Linkzone2 MW43 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments