Jinsi ya kuunlock Alcatel Y855V Osprey itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuinlock router yako ya Alcatel Y855V Osprey na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Y855V Osprey itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch Y855V Osprey na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Post a Comment