Jinsi ya kuunlock Alcatel Y859ND itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa na inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kufungua router yako ya Alcatel Y859ND na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch Y859ND itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wi-Fi
3. Itafunguka browser. Bonyeza Mâs
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Aceptar
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch Y859ND na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Post a Comment