Jinsi ya kuunlock Alcatel Y850O itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel Y850O na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Y850O itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch Y850O na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock Y850O itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel Y850O itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch Y850O, jinsi ya kuunlock Alcatel Y850O itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel Y850O itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel Y850O itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya Y850O itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya Y850O, namna ya kuunlock Alcatel onetouch Y8500, how to unlock Alcatel Y8500, how to unlock Y850O, how to unlock Alcatel onetouch Y850O, how to unlock Alcatel Y850O, how to unlock Alcatel onetouch Y850O
Post a Comment