Jinsi ya kuunlock Alcatel R228T itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel R228T na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel R228T itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch R228T na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

 Tags: Jinsi ya kuunlock R228T itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel R228T itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch R228T, jinsi ya kuunlock Alcatel R228T itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel R228T itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel R228T itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya R228T itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya R228T, namna ya kuunlock Alcatel onetouch R228T, how to unlock Alcatel R228T, how to unlock R228T, how to unlock Alcatel onetouch R228T, how to unlock Alcatel R228T, how to unlock Alcatel onetouch R228T

No comments