Jinsi ya kuunlock Alcatel IK40 Vodafone India itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo imefungwa ili iweze kutumia SIM card ya mtandao mmoja na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba Code
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel IK40 Vodafone India
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel IK40 Vodafone India itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Itafunguka Browser kwenye computer yenye address 192.168.1.1
3. Jaza User name na password kisha bonyeza "OK"
4. Itaomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Kisha bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Link key IK40 Vodafone India na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Post a Comment