Jinsi ya kuunlock Alcatel MW40LH itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel MW40LH na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel MW40LH itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch MW40LH na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock MW40LH itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel MW40LH itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch MW40LH, jinsi ya kuunlock Alcatel MW40LH itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel MW40LH itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel MW40LH itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya MW40LH itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya MW40LH, namna ya kuunlock Alcatel onetouch MW40LH, how to unlock Alcatel MW40LH, how to unlock MW40LH, how to unlock Alcatel onetouch MW40LH, how to unlock Alcatel MW40LH, how to unlock Alcatel onetouch MW40LH
Post a Comment