Jinsi ya kuunlock Alcatel HH42V itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel HH42V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock HH42V itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser ambayo ina address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel HH42V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock HH42V itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel HH42V itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch HH42V, jinsi ya kuunlock Alcatel HH42V itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel HH42V itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel HH42V itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya HH42V itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya HH42V, namna ya kuunlock Alcatel onetouch HH42V, how to unlock Alcatel HH42V, how to unlock HH42V, how to unlock Alcatel onetouch HH42V, how to unlock Alcatel HH42V, how to unlock 4G LTE Alcatel onetouch HH42V
Post a Comment