Jinsi ya kuunlock Alcatel HH42CV itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel HH42CV na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock HH42CV itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser ambayo ina address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel HH42CV na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock HH42CV itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel HH42CV itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch HH42CV, jinsi ya kuunlock Alcatel HH42CV itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel HH42CV itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel HH42CV itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya HH42CV itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya HH42CV, namna ya kuunlock Alcatel onetouch HH42CV, how to unlock Alcatel HH42CV, how to unlock HH42CV, how to unlock Alcatel onetouch HH42CV, how to unlock Alcatel HH42CV, how to unlock 4G LTE Alcatel onetouch HH42CV
Post a Comment