Jinsi ya kuunlock Alcatel HH41V Orange Tunisia itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel HH41V Orange Tunisia na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock HH41V Orange Tunisia itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser ambayo ina address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "OK"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel HH41V Orange Tunisia na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

No comments