Jinsi ya kuunlock Alcatel HH41V itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel HH41V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock HH41V itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser ambayo ina address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "OK"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel HH41V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.


Tags: Jinsi ya kuunlock HH41V itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel HH41V itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch HH41V, jinsi ya kuunlock Alcatel HH41V itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel HH41V itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel HH41V itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya HH41V itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya HH41V, namna ya kuunlock Alcatel onetouch HH41V, how to unlock Alcatel HH41V, how to unlock HH41V, how to unlock Alcatel onetouch HH41V, how to unlock Alcatel HH41V, how to unlock 4G LTE Alcatel onetouch HH41V

No comments