Namna ya kuunlock Huawei E8372h-153 itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei E8372h-153 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Jinsi ya kuunlock E8372h-153 itumie mtandao wowote
1. Install Huawei Driver
2. Run Huawei E8372h-153 unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E8372h-153 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
 

Tags: Jinsi ya kuunlock E8372h-153, Jinsi ya kuunlock Huawei E8372h-153, namna ya kufungua E8372h-153 itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E8372h-153, how to unlock E8372h-153, how to unlock Huawei E8372h-153, Download E8372h-153 firmware, Download Huawei E8372h-153 Firmware, Download firmware for E8372h-153

No comments