Jinsi ya kuunlock ZTE MF180V itumie mitandao yote

Hii ni modem inayotumia mtandao mmoja ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code. 

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE MF180V na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Mahitaji
- ZTE MF180V Unlocked Firmware
- ZTE MF180V Driver
- USB Cable
- PC

Namna ya kuunlock MF180V itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install ZTE MF180V Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE MF180V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock ZTE MF180V, jinsi ya kuunlock MF180V, jinsi ya kufungua ZTE MF180V, jinsi ya kufungua MF180V, download firmware for MF180V, download firmware for ZTE MF180V, download ZTE MF180V Firmware, download MF180V, how to unlock ZTE MF180V, how to unlock MF180V, how to unlock MF180V

No comments