Jinsi ya kuunlock Alcatel Y610 itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja. Ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel Y610
na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Y610 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router na Computer kwa Wi-Fi
3. Itafunguka browser yenye Address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Y610 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Post a Comment