Jinsi ya kuunlock E5573s-156 Orange itumie mtandao wowote

Hii ni router ambayo imefungwa na mtandao wa Orange ili uweze kutumia SIM Card mtandao mmoja na unapojaribu kutumia SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code. 

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock Huawei E5573s-156 Orange na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E5573s-156 Orange itumie mitandao yote
1. Install Huawei Hilink Drivers, Mobile Partner na FcSerialDrv. Ingia kwenye Windows Explorer. Right click kwenye This Computer au My computer >>> Manage >>> Device Manager >>> Ports (COM & LPT).
A. Right click kwenye HUAWEI Mobile Connect - 3G PC UI Interface kisha Update Driver Software

B. Bonyeza kwenye Browse my Computer for driver software

C. Bonyeza kwenye browse.

D. Itafunguka Windows, chagua folder ambalo lina driver kulingana na bit ya windows yako. Yangu ni Windows 10 bit X32/86 kwahiyo nimechagua
X86 kisha bonyeza OK. Jinsi ya kutambua Windows Bit ya computer yako kama ni X86 au X64

E. Bonyeza Next

F. Itaanza kuinstall Driver yako. Ikishindikana, hasa kwa wale wanaotumia Bit X64 itakubidi u-disable Driver signature Enforcement. Jinsi ya kudisable
Driver Signature Enforcement
. Ikishamaliza bonyeza Close. Fanya hivyo tena kwenye kuinstall FcSerialDrv

2. Connect router yako na computer kwa USB Cable
3. Run Huawei Master code, bonyeza Huawei, weka IMEI kisha bonyeza calculate kupata Flash Code

4. Run Huawei E5573s-156 Orange Downgrade Firmware kisha bonyeza Start. Ikiomba Password, weka za Flash Code kisha bonyeza OK. Iache mpaka imalize. Ikimaliza, bonyeza Finish

Ikileta Error 10: Find port failed. Fungua kwenye folder la Driver >>> Install 1 Error Code 10 >>> run USB_E5573_USB_controller au Error Code 10 kisha endelea na hatua namba 4.

5. Run DC Unlocker Client as administrator kisha bonyeza Magnifying Glass Button. Utaletewa taarifa za router yako

Ikigoma, fanya hivi
- Funga Huawei mobile partner dashboard
- Funga Tab ya Huawei dashboard kwenye browser yako
- Chomoa router yako kwenye computer kisha chomeka tena. Endelea na hatua namba 5

6. Mwisho wa taarifa za router yako. Weka code hizi AT^NVRDEX=50503,0,128 kisha bonyeza ENTER kupata NV Hash Code

7. Utapata NV Hash Code kama hivi
8. Nitumie NV Hash Code ulizozipata kwenye DC Unlocker 2 Client kwa SMS, WhatsApp & Telegram +255767434014 kupata NCK Code.

9. Run Huawei E5573s-156 Orange Upgrade Firmware kisha Bonyeza Start >>> Next. Iache mpaka imalize yenyewe kisha bonyeza Finish

10. Chomoa router yako. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa

11. Unganisha router yako kwa WIFI na computer yako. Itafunguka browser yenye address hii 192.168.8.1

12. Weka User name na Password kisha bonyeza Log In

13. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5573s-156 Orange na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.

Tags: Jinsi ya kuunlock E5573s-156 Orange itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Huawei E5573s-156 Orange itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E5573s-156 Orange, jinsi ya kufungua E5573s-156 Orange, jinsi ya kuunlock Huawei E5573s-156 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock E5573s-156 itumie mtandao wowote, how to unlock Huawei E5573s-156, how to unlock E5573s-156, how to unlock E5573s-156 Orange, how to unlock Huawei E5573s-156 Orange, download Huawei E5573s-156 Orange firmware, download E5573s-156 firmware, jinsi ya kuunlock router ya Orange E5573s-156 itumie mitandao yote, namna ya kufungua router ya E5573s-156 Orange itumie mitandao yote

No comments