Jinsi ya kuunlock E5373 itumie mitandao yote

Hii ni router ya E5373 ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock E5373 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Waiting Time: 1min - 5minitus

Namna ya kuunlock Huawei E5373 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
2. Unganisha router yako na computer kwa WI-FI
3. Itafunguka browser. Weka User Name na Password kisha bonyeza Log In
 4. Weka NCK Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza Apply

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock E5373 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments