Jinsi ya kuunlock Alcatel OT-117 itumie mitandao yote
Hii ni simu ambayo imefungwa ili utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Alcatel OT-117 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch OT-117 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine.
2. Washa simu yako
3. Utaletewa ujumbe wa Enter Network Key
4. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
5. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Alcatel OT-117 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Post a Comment