Jinsi ya kuunlock E5330Bs-2 Orange itumie mitandao yote

Hii ni router ya E5330Bs-2 Orange ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock E5330Bs-2 Orange na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Waiting Time: 1min - 5minitus

Namna ya kuunlock Huawei E5330Bs-2 Orange itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
2. Unganisha router yako na computer kwa WI-FI
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindikana kufunguka copy hii address
http://192.168.1.1/html/simlockrequired.html na paste kwenye browser yoyote ile ya computer yako
   > Weka User Name na Password kisha bonyeza Log In
 
4. Weka NCK Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza Apply

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock E5330Bs-2 Orange na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments